send link to app

Twende dereva


4.4 ( 6704 ratings )
Viagens Navegação
Developer: Twende Technologies Ltd
Livre

Dereva yeyote aliyesajili Taxi, Bajaj au Bodaboda yake nasi anaweza kutumia kupata abiria kwa ufanisi zaidi
Chagua Twende Dereva Sasa!

1. Pakua Twende Dereva bure, kisha kamilisha usajili na vibali vya chombo chako.
2. Tutakuweka kwenye ramani kisha utaanza kupokea maombi ya abiria
3.Abiria atalipa nauli kwa fedha taslimu au kwa simu kulingana na muda pamoja na umbali.
4. Thaminisha na toa maoni kuhusu abiria na safari kwa ujumla

Kwa taarifa zaidi tembelea www.twende.co.tz